- 251 viewsDuration: 22:17Tunajadili haki kwa wakenya katika miaka mitatu ya Ruto Kumeshuhudiwa mauaji ya kiholela na ukatili wa polisi Je, serikali ya Kenya Kwanza inajali maslahi ya Wakenya? Baadhi ya waandamanaji wamesalia korokoroni wakidai haki Waandamanaji wengine wangali wanauguza majeraha ya risasi Serikali ilibuni jopo la fidia kwa waathiriwa wa maandamano