15 Sep 2025 1:09 pm | Citizen TV 297 views Duration: 2:23 Mwandishi wa habari wa gazeti la the people daily katika kaunti ya Homa bay Habil Onyango anaguza majeraha baada ya kutekwa nyara na kupigwa na watu ambao anasema anawafahamu.