Skip to main content
Skip to main content

Wakazi wengi wa kaunti ya Busia wakosa matibabu ya ngozi

  • | Citizen TV
    284 views
    Duration: 3:10
    Huku kaunti ya Busia ikiwa miongoni mwa kaunti zinazokumbwa na visa vingi vya magonjwa ya ngozi ambayo hayazungumziwi, imewalazimu maafisa kutoka chama cha maradhi ya ngozi nchini kuwashirikisha wakazi katika matembezi ya zaidi ya kilomita nane ili kutoa hamasa. wakazi walielezewa kuhusu ugonjwa wa ukurutu ngozi kwa kiingereza eczema na dalili zake ili kuwaokoa wengi wanaoteseka wakiwemo watoto.