Skip to main content
Skip to main content

Mswada wa usimamizi wa maendeleo ya uvuvi wapingwa Malindi

  • | Citizen TV
    152 views
    Duration: 2:13
    Wadau wa sekta ya uvuvi mjini Malindi wamefanya maandamano ya amani katika kituo cha kupokea samaki cha Shella wakipinga mswada wa usimamizi na maendeleo ya uvuvi wakisema unakiuka katiba, na unalenga kumkandamiza.