- 291 viewsDuration: 3:11Familia, jamaa na marafiki ya aliyekuwa Mkurugenzi mkuu wa Maswala ya Kifedha katika Nairobi Hospital Erick Maigo, aliyepatikana amuawa kinyama nyumbani kwake waliandaa hafla ya makumbusho nyumbani kwake Kule Kisii miaka miwili tangu kifo chake. Familia ya marehemu ikitimia nafasi hiyo kuiomba serikali na idara ya usalama kufanya juu chini ili haki kwa mpendwa wao ipatikane. Chrispine Otieno na mengi zaidi