Skip to main content
Skip to main content

Katibu Alex Wachira atetea rais Ruto, akisema ameimarisha uchumi wa taifa

  • | NTV Video
    55 views
    Duration: 1:05
    Wandani wa rais Ruto wameendelea kutetea maendeleo ya serikali kwa miaka mitatu iliyopita tangu waingie mamlakani. Katibu katika wizara ya kawi Alex Wachira, anasema kuwa uchumi umeimarika huku bei za vyakula zikishuka na bei ya mazao ya shambani kama vile kahawa kupanda . Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows. Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya