Familia inataka uchunguzi wa haraka baada ya Mwalimu Mstaafu kuchinjwa nyumbani kwake

  • | West TV
    356 views
    Huzuni, hofu, na maswali mengi yameigubika familia moja katika kijiji cha sirandala, wadi ya marachi mashariki eneo bunge la butula kufuatia mauaji ya kustaajabisha ya mzee wa familia hiyo yanayokisiwa kutetekelezwa jumanne jioni. mwalimu mstaafu sebastian mutswenje alipatikana nyumbani kwake akiwa amechinjwa na kulazwa sakafuni kisa hiki sasa kikiitia familia yake uoga wa kuishi katika boma hilo