Mazishi ya James Osogo aliyehudumu kama mbunge wa kwanza wa Budalangi

  • | West TV
    140 views
    Aliyekuwa mbunge wa kwanza wa eneo bunge la Budalangi katika kaunti ya Busia aliyezikwa jumamosi hii nyumbani kwake huko Budalangi James Osogo ameombolezwa kuwa kiongozi aliyekuwa na mchango mkubwa katika taifa hili kwa ujumla