- 4,969 viewsDuration: 2:58Mahakama leo imefahamishwa kuwa Bastola Tatu zilizowasilishwa katika Maabara ya DCI kwa uchunguzi wa mauaji ya Rex Masai hazikufyatua risasi lliyowasilishwa na halmashauri ya utendakazi wa polisi IPOA. Mtaalam wa Kudadisi Silaha Katika maabara ya DCI Alex Mutindi Mwandawiro amesema haya yameweka njia panda ripoti kua ilichukuliwa kama ushahidi baada ya kuuwawa kwa Rex Masai wakati wa maandamano ya Gen Z mwaka jana.