- 2,413 viewsDuration: 2:27Polisi eneo la Elburgon kaunti ya Nakuru wanamzuilia mfanyakazi wa shamba kwa tuhuma za kuwaua waajiri wake wawili. Mfanyakazi huyo akiripotiwa kukiri kuwaua wazee hao wawili na kutupa maiti zao kwenye kisima cha maji. Huku hayo yakijiri, polisi Kajiado nao wanamzuilia msichana wa miaka 24 kwa tuhuma za kumdunga kisu na kumuua mumewe kufuatia mzozo wa kifamilia.