- 5,298 viewsDuration: 2:52Hospitali ya kujifungua kina mama ya st. Teresa iliyoko kaunti ya kiambu inalaumiwa kwa utepetevu. Familia ya philis wanjiru, inasema walimpeleka katika hospitali hiyo kujifungua lakini alipata matatizo alipofanyiwa upasuaji na kuvuja damu nyingi hadi kuaga dunia alipokuwa akihamishwa hadi hospitali ya rufaa ya Kenyatta.