- 78 viewsDuration: 2:52Waziri wa afya Aden Duale amesema serikali haitalegeza kamba katika juhudi zake za kukabiliana na makundi ya walaghai katika sekta ya afya. Duale alitoa hakikisho hilo katika kaunti ya Vihiga ambayo ndiyo kaunti ya kwanza kusajili wafanyakazi wake katika mpango wa bima ya matibabu ya maafisa wa umma chini ya halmashauri ya afya ya jamii (SHA). Zaidi ya wafanyakazi 3,000 sasa watapokea huduma za bima hiyo ya matibabu kuanzia mwezi Oktoba mwaka huu. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive