Skip to main content
Skip to main content

Rais alihudhuria mazishi ya Mzee Isaac Ichung’wa Ngugi

  • | KBC Video
    135 views
    Duration: 3:05
    Rais William Ruto amekariri azma yake ya kuleta mageuzi ya ustawi kwa kila mmoja katika taifa hili. Akizungumza katika kaunti ya Kiambu wakati wa mazishi ya Mzee Isaac Ichung’wa Ngugi babake mbunge wa Kikuyu Kimani Ichung’wa, Rais Ruto alilinganisha mafanikio ya marehemu na ajenda yake akisema marehemu alikuwa ni kielelezo sio tu kwa taifa bali kwa watu binafsi. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive