Vijana zaidi la laki nane kutoka familia maskini wanatarajiwa kunufaika chini ya mradi wa serikali wa nafasi za kujiendeleza, al maarufu, NYOTA. Waziri wa ustawi wa biashara ndogondogo na za kadri, Wycliffe Oparanya amesema serikali imeshirikiana na zaidi ya mashirika 60 kukuza fursa za ujasiriamali zitakazowafaidi vijana hao. Taarifa hii ni kwenye kitengo cha Kapu la Biashara.
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc
Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1
Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#kbcchannel1 #news #kbclive