Skip to main content
Skip to main content

Magatuzini I Mvua ya bojo yasababisha hasara Busia

  • | KBC Video
    56 views
    Duration: 2:48
    Zaidi ya familia 32 katika eneo la Amagoro, Teso kaskazini kaunti ya Busia zililazimika kuvumilia baridi ya usiku kucha baada ya mvua ya bojo na kimbunga kikali kuharibu nyumba zao. Mvua hiyo ambayo haikutarajiwa jana jioni ilitokea ghafla na kuwalazimu wengi kukimbilia usalama. Taarifa hii na nyingine kemkemu zilizogonga vichwa vyetu vya habari ni katika mkusanyiko wa taarifa za dira ya kaunti. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive