- 85 viewsDuration: 1:33Uchunguzi wa kifo cha Rex Masai wakati wa maandamano ya kupinga mswada wa fedha wa mwaka 2024 ulichukua mwelekeo mpya Jumatatu wakati mtaalam wa uchunguzi wa risasi aliposema risasi iliyopelekwa kwa uchunguzi haikuwa ya bastola silizowasilishwa kwa uchunguzi. Senior Superintendent wa polisi Alex Mwandawiro alimfahamisha haikimu Geoffrey Onsarigo kwamba risasi hiyo ilitoka kwenye bunduki nyingine na kuibua ukinzani kwamba risasi hazikutumika wakati wa maandamano ya Gen Z. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive