Skip to main content
Skip to main content

Lawama kwa mabalozi wa kupinga ukeketaji Samburu

  • | Citizen TV
    240 views
    Duration: 2:50
    Licha ya kujitolea mhanga kwa mabalozi wanaopigania kukomesha mila ya ukeketaji wa wasichana katika Jamii za wafugaji, mabalozi wanaopigana na tamaduni hii wanalalamikia kupitia changamoto nyingi. Baadhi yao wakizungumzia kama unyanyapaa na kutengwa na jamii kwa kigezo kuwa wao ni wasaliti wa jamii zao