Serikali yaongeza muda wa kuwasilisha maombi ya ufadhili wa elimu ya chuo kikuu

  • | K24 Video
    31 views

    Serikali imeongeza muda wa kuwasilisha maombi ya ufadhili wa elimu ya chuo kikuu kutoka tarehe 7 mwezi huu hadi tarehe 7 mwezi ujao. Uamuzi huo umefanywa ili kuruhusu asilimia 40 ya wanafunzi elfu 265 kupata nafasi ya kuwasilisha maombi yao kwani ni wanafunzi asilimia 60 ndio waliotuma maombi ya ufadhili. Hayo yanajiri huku kukiwa na baadhi ya wanafunzi ambao huenda ndoto zao za kujiunga na vyuo vikuu zikaambulia patupu. Mmoja wao ni Geofery Isaboke kutoka kaunti ya Kisii ambaye aliitwa katika chuo kikuu cha Nairobi