Serikali kuagiza mafuta ya kupikia bila ushuru

  • | K24 Video
    48 views

    Chama cha mawakili nchini maarufu kama lsk hakijaridhika na uamuzi wa mahakama wa kuondoa marufuku ya uagizaji wa mafuta ya kupikia bila ya kuyatoza ushuru. Akitoa uamuzi huo jaji John Chigiti ametupa kesi ya lsk kwa msingi kuwa hakuna ushahidi wa kuonyesha stakabadhi zinazotumiwa na LSK zilipatikana kwa njia halali. LSK imepinga sababu hiyo kwa kusema kuwa haiambatani na sheria na hivyo chama kinapanga kukata rufaa