Serikali yaimarisha vita dhidi ya dawa za kututumua misuli

  • | Citizen TV
    282 views

    Serikali mikakati ya kuimarisha vita dhidi ya utumizi wa dawa za kututumua misuli miongoni mwa wanariadha kabla ya mashindano ya olimpiki yatakayofanyika jijini paris, ufaransa, mwaka ujao. Waziri wa michezo ababu namwamba amesema tayari shilingi bilioni 3.5 zimetengwa kukabili utumizi wa dawa hizo.