Mama wa miaka 35 ajifungua watoto watatu kwa mpigo

  • | Citizen TV
    769 views

    Shangwe na vifijo zilitanda katika hospitali ya Fort-ternan eneo la Kipkelion West, kaunti ya nandi kufuatia kuzaliwa kwa mapacha watatu kwa mara ya pili mwaka huu katika hospitali hiyo.