Utovu wa usalama Khwisero

  • | Citizen TV
    1,282 views

    Mamia ya wakazi wa eneo la Khwisero kaunti ya Kakamega wameandamana kulalamikia ongezeko la visa vya uhalifu katika eneo hilo. Kulingana nao, watu kadhaa mweuwawa na majambazi katika kipindi cha miezi mitatu iliyopita.