Tume ya EACC yatikwa kuchunguza bodi ya kutoa leseni za vileo Nairobi kufuatia madai ya ufisadi

  • | KBC Video
    46 views

    Kamati ya uhasibu wa fedha za umma katika bunge la kaunti ya Nairobi sasa inataka tume ya kukabiliana na ufisadi-EACC kuchunguza bodi ya kutoa leseni za vileo kaunti ya Nairobi kufuatia madai ya ufisadi na utumizi mbaya wa mamlaka.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1tv Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #KBCchannel1 #Kenya #News