Kaunti za Kisii na Siaya kuandaa fainali za Chapa Dimba wikendi hii

  • | Citizen TV
    427 views

    Kaunti za Kisii na Siaya zitaandaa fainali za mchuano Wa Chapa Dimba na Safaricom siku ya Jumamosi na Jumapili. Shule ya upili ya Jera kutoka Ugenya na Vsa Girls zitakutana kwenye fainali ya wasichana ya kaunti ya Siaya katika uwanja wa KMTC.