| MAZAO AFRIKA MASHARIKI | Faida za kilimo cha mpunga kwa udongo

  • | Citizen TV
    438 views

    kwenye makala ya Mazao Afrika Mashariki hii leo tunaagazia faida ya kilimo cha mchele kwa udongo. Shirika lisilo la kupata faida la kilimo trust linalenga kuimarisha mbinu za kilimo kupitia mchele na makapi yake.