Wenye hisa katika ardhi ya Embakasi wametoa wito kwa serikali kutatua mgogoro kuhusu umiliki wake

  • | KBC Video
    21 views

    Wenye hisa katika ardhi inayokumbwa na mzozo ya Embakasi wamerejelea wito wao kwa serikali kutatua mgogoro kuhusu umiliki wa ardhi hiyo.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1tv Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #KBCchannel1 #Kenya #News