- 398 viewsMvua kubwa inayonyesha kwa siku tatu mfululizo, baada ya kuzimika kwa moto mkali uliosababisha maafa makubwa kaskazini mwa Ugiriki, imevigeuza vijiji kadha kuwa ziwa katika nyanda ya Thessaly. Maafisa wametuma wapiga mbizi na wataalmu wa kuwaokoa watu ndani ya maji wakati wakazi wa maeneo yaliyoathirika vibaya kupanda juu ya mapaa ya nyumba zao kupata hifadhi. Maji ya mafuriko yanaripotiwa kupandana hadi futi mbili katika baadhi ya maeneo. Idara ya zima moto inasema imewaokoa karibu watu 820 tangu siku ya Jumanne. Waziri Mkuu Kyriakos Mitsotakis ameahirisha kutoa hotuba ya kila mwaka juu ya hali ya uchumi iliyopangwa mwishoni mwa wiki hii na badala yake atatembelea maeneo yaliyohabiriwa na mvua akisema nchi inakabiliwa na siku tatu za hali ya maajabu ambayo ahijawahi kusuhudiwa. Mafuriko kutokana na dhoruba Daniel yameathiri nchi jirani za Bulgaria na uturuki na karibu watu 15 wamefariki katika nchi hizo tatu. Habari hii inatokana na vyanzo mbalimbali vya habari #mvua #mafuriko #ugiriki #janga #moto #maafa #voa #voaswahili #dunianileo - - - - - #VOASwahili Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu.
Vijiji kadhaa vyafunikwa na maji Ugiriki baada ya kumalizika kwa janga la moto liliosababisha maafa
- 4 Jul 2025 - Russia launched its largest-ever drone and missile attack on Ukraine overnight on Friday just hours after a telephone call between US and Russian presidents ended without any breakthrough.
- 4 Jul 2025 - Russia said on Thursday it had accepted the credentials of a new ambassador of Afghanistan, making it the first nation to recognise the Taliban government of the country.
- 4 Jul 2025 - A family in Rukanga village, Mutithi Ward in Kirinyaga County has been left in shock after Wednesday's tragic road accident, which claimed three members of their family along the Mwea-Embu highway.
- 4 Jul 2025 - Every prime time, the news supply can be dizzying. Take our quiz to test how well you understood the week's most important stories.
- 4 Jul 2025 - Congo's government and Rwanda-backed rebels said on Thursday they would send delegations back to Qatar for peace talks, as Washington pushes for an end to fighting that could help unlock billions in mining investments.
- 4 Jul 2025 - This is the first appointment of a Kenyan Bishop since Pope Leo XIV became the head of the Catholic Church.
- 4 Jul 2025 - The Ethics and Anti-Corruption Commission (EACC) has filed a suit for recovery of prime public land valued at Ksh 200 million located in the heart of Eldoret Central Business District. The parcels of land known as ELDORET MUNICIPALITY BLOCK 7/210 and…
- 4 Jul 2025 - The uncle revealed the aspiration would remain a dream following his death.
- 4 Jul 2025 - Plan your weekend routes wisely.
- 4 Jul 2025 - The two companies operate entirely separately, there is no shared ownership, governance or operational structure between them.