Waziri wa afya Susan Nakumicha azuru Homabay kuzindua mpango wa kukomesha maambukizi ya UKIMWI

  • | KBC Video
    12 views

    Waziri wa afya Susan Nakumicha alizuru kaunti ya Homabay kuzindua mpango wa serikali wa kukomesha maambukizi ya UKIMWI miongoni mwa watoto kufikia mwaka 2027.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channe: l: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive