NACADA yabaini kuwa dawa inayosababisha watu kupoteza fahamu na kuduwaa haijaingia Kenya

  • | Citizen TV
    1,804 views

    Bodi ya kukabiliana na dawa za kulevya nchini NACADA sasa imebaini kuwa dawa ya kulevya inayosababisha watu kupoteza fahamu na kuduwaa inayojulikana kama fentanyl haijaingia nchini kenya.