Wizara ya elimu imekanusha madai kua wanafunzi waliojiunga na vyuo vikuu wamefukuzwa kwa kukosa karo

  • | KBC Video
    16 views

    Wizara ya elimu imekanusha madai kuwa wanafunzi kadhaa wa mwaka wa kwanza ambao wamejiunga na vyuo vikuu vya umma nchini wamefukuzwa kwa kukosa kulipa karo.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channe: l: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive