Mahojiano na mwakilishi mwanamke Njeri maina- Mwanamke na uongozi

  • | K24 Video
    52 views

    Wanawake mashinani wana uoga wa kukumbatia uongozi kutokana na udhalilishwaji na vitisho katika mitandao na jamii. Mwakilishi mwanamke wa kaunti ya Kirinyaga Jane Njeri maina anahofu kuwa baadhi ya wanawake waliotangulia uongozini huwa vikwazo na huwafisha moyo wanawake chipukizi wasijue ni nani atawapa nasaha.