Miradi iliyokwamishwa Mombasa

  • | K24 Video
    78 views

    Daraja la watembea miguu la Liwatoni kaunti ya Mombasa linalounganisha kisiwa cha Mombasa na kusini mwa Pwani lililojengwa wakati wa janga la korona kwa gharama ya takribani shilingi bilioni1.9 ni miongoni mwa miradi iliogharimu fedha nyingi za umma na lengo la kurahisisha usafiri wa meli bandarini na kupunguza msongamano katika kivukio cha feri cha Llikoni, na kutokana na miradi, tathmini ya miradi iliozinduliwa wakati wa janga la korona kaunti ya Mombasa na baadaye kusitishwa