Mahangaiko ya wahudumu wa afya Machakos

  • | K24 Video
    37 views

    Wahudumu wa afya wa nyanjani katika kaunti ya Machakos sasa wanahangaika kutokana na kukosa kulipwa licha ya juhudi zao katika kusaidia nchi kupambana na virusi vya covid 19. Wahudumu hao wa afya wanadai kusahaulika miaka minne baadaye licha ya kuhatarisha maisha yao kwa kuhakikisha kanuni za kudhibiti kusambaa kwa covid 19 zimefuatwa.