- 223 viewsDuration: 1:39Waumini wa kanisa la kikatoliki katika Maeneo ya kuria wanaomba usimamizi wa kanisa Hilo kuzingatia kuanzisha wa dayosisiasisi katika eneo hilo. Waumini hao wanaeleza kuwa wamejipata katika njia panda kutafuta huduma muhimu za kanisa katika dayosisi ya Homabay ambayo iko kilomita kadhaa Kutoka Kuria.