16 Sep 2025 10:42 am | Citizen TV 103 views Duration: 1:42 Kaunti ya Migori imepiga hatua kubwa katika safari yake ya kukumbatia mabadiliko ya kidijitali kwa kuzinduliwa rasmi kwa Maabara ya kisasa ya Mfumo wa Taarifa za Kijiografia (GIS).