Kaunti ni ya Baringo ni miongoni mwa kaunti ambazio zimmeathirika na ukame

  • | K24 Video
    12 views

    Kaunti ya Baringo ni miongoni mwa kaunti ambazo zimeathirika pakubwa na ukame, huku asilimia 72 ya ardhi ya kaunti hiyo ikiwa kame. Katika maadhimisho ya siku ya kimataifa ya kiangazi na jangwa iliyofanyika katika kaunti hiyo, imebainika kuwa bado maelfu ya watu wanahitaji msaada wa chakula.