Muungano wa Kenya Kwanza waahidi kupunguza bei za mafuta na vyakula ncini iwapo itashinda uchaguzi

  • | K24 Video
    116 views

    Muungano wa Kenya Kwanza umeendelea kuahidi kuwa ukiingia mamlakani utapunguza bei za mafuta na vyakula nchini katika siku mia moja za kwanza. Ahadi hiyo na nyingine zilitolewa wakati wa kampeini ya muungano huo iliyoongozwa na mgombea urais William Ruto katika kaunti za Vihiga, kakamega na Bungoma. mgombea mwenza wa Ruto, Rigathi Gachagua pia alitoa ahadi kama hizo katika siku ya tatu ya kampeini anayoongoza katika kaunti ya kiambu.