KMPDU yatishia kuandaa mgomo wa kitaifa Disemba

  • | K24 Video
    25 views

    Kuna upungufu wa madaktari zaidi ya nusu milioni nchini. Ingawa serikali ina nia ya kuajiri wakenya milioni moja, uwekezaji zaidi unahitajika katika sekta ya afya. Muungano wa madaktari leo umesema hayo huku ukionya kuwa utaandaa mgomo wa kitaifa endapo matakwa yao hayatashughulikiwa.