16 Sep 2025 1:14 pm | Citizen TV 2,116 views Duration: 1:25 Mtu mmoja ameuawa kwa kupigwa risasi huku wengine watatu wakijeruhiwa katika shambulio la kijambazi katika njia ya mkato ya Loruk kaunti ya Baringo .