16 Sep 2025 1:18 pm | Citizen TV 259 views Duration: 1:27 Wakazi wa Maili Tatu, Eneobunge la Tigania Magharibi, Kaunti ya Meru pamoja na Wafugaji Wameandamana na Kufunga Barabara ya Meru Kwenda Isiolo, Wakilalamikia Kukithiri kwa wizi wa Mifugo katika eneo hilo.