- 662 viewsTakriban watu 10,000 wanadhaniwa wamepotea kufuatia mafuriko makubwa nchini Libya, afisa mmoja kutoka Shirikisho la Kimataifa la Msalaba Mwekundu na Jumuiya za Mwezi Mwekundu (IFRC) alisema Jumanne (Septemba 12). Kiasi cha robo ya mji wa mashariki mwa Libya wa Derna ulisombwa na mafuriko baada ya mabwawa kupasuka kutokana na dhoruba, na miili zaidi ya 1,000 imeopolewa hadi hivi sasa, waziri katika serikali hiyo inayodhibiti upande wa mashariki alisema Jumanne. “Idadi ya vifo ni kubwa na inaweza kufikia maelfu,” Tamer Ramadan, mkuu wa ujumbe wa IFRC nchini Libya, aliwaambia waandishi wa habari huko Geneva kupitia mtandao wa mawasiliano ya video kutoka Tunisia. Shirikisho hilo la IFRC linaweza kwa siku za karibuni kuomba ufadhili wa dharura kwa ajili ya kuwasaidia waathirika wa mafuriko hayo nchini Libya. Reuters/UNTV #mafuriko #libya #derna #dhoruba #mabwawa #miili #waziri #serikali #voa #voaswahili #dunianileo - - - - - #VOASwahili Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu.
Takriban watu 10,000 wadhaniwa wamepotea kufuatia mafuriko makubwa Libya
- - Duniani Leo ››
- 10 Jul 2025 - Russia pummelled Ukraine early on Wednesday with its largest missile and drone attack in more than three years of war, claiming to have targeted an airfield in a region bordering Poland.
- 10 Jul 2025 - The US government said Wednesday it subpoenaed Harvard University for records linked to students allegedly involved in a wave of pro-Palestinian student protests that the Trump administration labeled anti-Semitic.
- 10 Jul 2025 - Ruto has instead chosen a combative tone and even ordered police not to relent hen dealing with protesters
- 10 Jul 2025 - Farmers have been asked to embrace the use of biological pesticides as a way of mitigating climate change and solving negative impact towards the environment caused by prolonged use of chemical pesticides in farming.
- 10 Jul 2025 - The move has sparked a fierce confrontation with the current MP.
- 10 Jul 2025 - His bold, combative political style made him a valuable asset in defending the administration and consolidating support in the vote-rich region.
- 10 Jul 2025 - Rights groups have accused authorities of stalling investigations into police killings as families wait in anguish.
- 10 Jul 2025 - Some of the teachers in the category are not necessarily unemployed as some are engaged elsewhere, says acting CEO.
- 10 Jul 2025 - Saudi Arabia accounted for the highest number with 166 deaths, followed by Qatar at 58. Oman and Iran reported no deaths.
- 10 Jul 2025 - Initially, the fund targeted 14 of the least developed counties, mainly in arid and semi-arid regions.