- 530 viewsWakazi karibu laki tatu wa kisiwa cha Ufaransa cha Mayotte katika Bahari ya Hindi kinachodaiwa na Comoros, wanalalamika kutokana na ukosefu wa huduma ya maji baada ya miezi kadhaa ya ukame. Kisiwa hicho kinakabiliwa na hali mbaya ya ukame kuwahi kutokea katika kipindi cha miaka 30 na mamlaka ya maji yanakata huduma kwa siku mbili kati ya kila siku tatu kutokana pia na matatizo ya mitambo ya maji iliyochakaa. Habari hii inatokana na vyanzo mbalimbali. #wakazi #ufaransa #kisiwa #mayotte #bahariyahindi #comoros #maji #ukame #mamlaka #mitambo #voa #voaswahili #dunianileo - - - - - #VOASwahili Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu.
Wakazi takriban 300,000 wa kisiwa cha Mayotte katika Bahari ya Hindi chakabiliwa na uhaba wa maji
- - Duniani Leo ››
- 10 Jul 2025 - Russia pummelled Ukraine early on Wednesday with its largest missile and drone attack in more than three years of war, claiming to have targeted an airfield in a region bordering Poland.
- 10 Jul 2025 - The US government said Wednesday it subpoenaed Harvard University for records linked to students allegedly involved in a wave of pro-Palestinian student protests that the Trump administration labeled anti-Semitic.
- 10 Jul 2025 - Ruto has instead chosen a combative tone and even ordered police not to relent hen dealing with protesters
- 10 Jul 2025 - Farmers have been asked to embrace the use of biological pesticides as a way of mitigating climate change and solving negative impact towards the environment caused by prolonged use of chemical pesticides in farming.
- 10 Jul 2025 - The move has sparked a fierce confrontation with the current MP.
- 10 Jul 2025 - His bold, combative political style made him a valuable asset in defending the administration and consolidating support in the vote-rich region.
- 10 Jul 2025 - Rights groups have accused authorities of stalling investigations into police killings as families wait in anguish.
- 10 Jul 2025 - Some of the teachers in the category are not necessarily unemployed as some are engaged elsewhere, says acting CEO.
- 10 Jul 2025 - Saudi Arabia accounted for the highest number with 166 deaths, followed by Qatar at 58. Oman and Iran reported no deaths.
- 10 Jul 2025 - Initially, the fund targeted 14 of the least developed counties, mainly in arid and semi-arid regions.