16 Sep 2025 1:32 pm | Citizen TV 454 views Duration: 1:24 Maafisa wa polisi kutoka Kitutu Central mjini Kisii wamewakamata wanaume wawili katika eneo la Nyankongo baada ya kupatikana na magunia kadhaa ya misokoto ya Bangi.