- 981 viewsDuration: 3:16Wahudumu wa boda boda katika miji ya Emali, makindu na Kibwezi walifika katika ofisi za gavana wa makueni mjini Wote wakishinikiza kupatikana kwa haki ya mmoja wao ambaye aliuawa mjini Kibwezi na watu wanaojulikana kwa madai ya wizi. Kulingana nao, madai hayo si ya kweli na sasa wanataka waliohusika kukabiliwa kisheria.