16 Sep 2025 1:50 pm | Citizen TV 59 views Duration: 1:57 Kampuni ya kusambaza maji jijini Nakuru, NAWASCO, imetia sahihi mkataba wa ushirikiano kati yake na muungano mpya wa wafanyakazi wa sekta ya maji katika kaunti ya Nakuru, Waswu