Skip to main content
Skip to main content

Wakazi wa Kisii wahamasishwa kuhusu umuhimu wa vitambulisho

  • | Citizen TV
    64 views
    Duration: 1:39
    Ulimwengu unapoadhimisha siku ya kimataifa ya kitambulisho, wanaharakati kutoka mashirika mbalimbali za kutetea haki za binadamu wameandaa msafara wa kuhamaisha umma mjini Kisii kwa lengo la kuelezea umma umuhimu wa kushika vitambulisho