- 1,067 viewsMkazi wa mji wa Derna, nchini Libya Mustafa Salem aeleza janga hilo lilivyotokea: “Baadaye tukasikia (bwawa) limepasuka na (maji) yameshafurika katika eneo. Watu walikuwa wamelala, hakuna aliyekuwa tayari kukabiliana na hali hiyo. Lakini hiki ndiyo kilichotokea – tutafanya nini. Kwangu mimi, nyumba yangu iko karibu na bonde, mkabala na Msikiti wa Al-Sahaba- familia yote inaishi karibu na kila mmoja, sote sisi ni majirani. Tumepoteza watu 30 hadi hivi sasa, watu 30 wa familia moja. Hatujaweza kumpata yeyote kati yao.” #Libya #RedCross #redcrescent #voa #voaswahili - - - - - #VOASwahili Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu.
Mkazi wa mji wa Derna, Libya aeleza jinsi bwawa lilivyopasuka na wakashtukizwa na mafuriko
- - Duniani Leo ››
- - 🔴 TV47 Live ››
- 12 Jul 2025 - Four crew members of a cargo ship attacked and sunk by Yemeni rebels earlier this week are presumed dead, an EU naval force said Friday, with search operations ongoing in the Red Sea.
- 12 Jul 2025 - The Commission is under pressure to deliver on its constitutional mandate and rebuild public confidence.
- 12 Jul 2025 - The law emphasises that officers must first attempt peaceful methods such as verbal warnings.
- 12 Jul 2025 - The Senegalese government issued a warning of 'repercussions' against the organisers.
- 12 Jul 2025 - Dreams of 23-year-old man brutally cut short by a trigger-happy police officer.
- - Ndindi Nyoro: Government is to blame for the violence and deaths during the Saba Saba protests
- 12 Jul 2025 - Raila blasts Ruto over order to shoot protesters
- 12 Jul 2025 - Lawyer Pheroze Nowrojee: Legal luminary who fought for justice
- 12 Jul 2025 - Grief turns to outcry during slain hawker Boniface Kariuki's funeral
- 12 Jul 2025 - How goat feasts turn Maasai men into trusted family planning champions