16 Sep 2025 2:09 pm | Citizen TV 124 views Duration: 1:30 Wakazi Wanaotumia Barabara ya Kaongo, ilioko Eneobunge la Imenti ya Kati, Meru Wameelezea hofu yao kutokana na hali duni ya Barabara hiyo ambayo imechimbika na kupata Mitaro Mikubwa .