- 542 viewsPicha za Satellite zilizochukuliwa hivi karibuni Jumanne, Septemba 12 zikionyesha uharibifu ulioletwa na Kimbunga Daniel huko Libya ambacho kimeuwa maelfu ya watu na kupelekea watu wasiopungua 10,000 kutoweka. Kimbunga hicho kikubwa cha Mediterranean kilibomoa mabwawa, na kuzoa majengo na kuangusha majumba na robo ya mji huo kwa kiwango kikubwa kuzolewa na mafuriko. - Reuters #Libya #RedCross #RedCrescent - - - - #VOASwahili Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu.
Libya: Picha za satellite zikionyesha hali ilivyo kuwa kabla na baada ya kimbunga Daniel kutua
- - Duniani Leo ››
- - 🔴 TV47 Live ››
- 12 Jul 2025 - Four crew members of a cargo ship attacked and sunk by Yemeni rebels earlier this week are presumed dead, an EU naval force said Friday, with search operations ongoing in the Red Sea.
- 12 Jul 2025 - The Commission is under pressure to deliver on its constitutional mandate and rebuild public confidence.
- 12 Jul 2025 - The law emphasises that officers must first attempt peaceful methods such as verbal warnings.
- 12 Jul 2025 - The Senegalese government issued a warning of 'repercussions' against the organisers.
- 12 Jul 2025 - Dreams of 23-year-old man brutally cut short by a trigger-happy police officer.
- - Ndindi Nyoro: Government is to blame for the violence and deaths during the Saba Saba protests
- 12 Jul 2025 - Grief turns to outcry during slain hawker Boniface Kariuki's funeral
- 12 Jul 2025 - How goat feasts turn Maasai men into trusted family planning champions
- 12 Jul 2025 - PHOTOS: Kamba folk songs dominate Rift Valley Regional Music Festivals
- 12 Jul 2025 - Raila blasts Ruto over order to shoot protesters