Msongo wa mawazo serikalini waongezeka

  • | Citizen TV
    1,871 views

    Idadi ya wafanyakazi wa umma wanaokabiliwa na msongo wa mawazo imeongezeka maradufu katika kipindi cha mwaka mmoja uliopita. Wizara ya utumishi wa umma ikitaja hali ngumu ya kiuchumi nchini kuwa chanzo kikuu huku wengi wa walioathirika wakiwa maafisa wa polisi. Serikali sasa ikiahidi kuimarisha huduma za kisaikojia